KARIAKOO DERBY KUPIGWA 20 APRILI
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga upya tarehe ya mchezo namba 180 wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati ya Yanga na Simba maarufu kama ‘Kariakoo Derby’. Mchezo huo ambao haukupangiwa tarehe kwenye ratiba iliyofanyiwa maboresho Februari 2024, sasa utachezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Aprili 20, 2024 kuanzia saa 11:00…