News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

MZIZE AIBEBA YOUNG AFRICANS IKIICHAPA MASHUJAA.

LIGI Kuu ya NBC imeendelea kushika kasi ikiwa ni mzunguko wake wa tisa kwa timu ya Young Africans na Mashujaa, huku timu ya Young Africans ikiondoka na alama tatu muhimu za mchezo huo ulichezwa kakika uwanja wa KMC Complex saa 12:30 jioni, DSM, ambapo timu ya Young Africans ilikuwa mwenyeji wa timu ya Mashujaa. Kipindi…

Loveness Bernard · Read more

JABIR ANAKITAKA KIATU CHA UFUNGAJI BORA LIGI KUU YA NBC.

Mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Anuary Jabir, ameendelea kung’ara katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027, akiongoza orodha ya wafungaji kwa mabao saba, akiwazidi washindani wake wanaofuatia kwa tofauti ya mabao matatu. Jabir anaongoza katika orodha hiyo akiwa amecheza michezo tisa sawa na dakika 742 ndani ya msimu wa 2026/2027…

Loveness Bernard · Read more

GEITA, FOUNTAIN ZAGAWANA ALAMA LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC imeendelea jana kwa mchezo uliowakutanisha Geita Gold na Fountain Gate mkoani Geita katika uwanja wa Bukombe na kumalizika kwa sare ya bao 1-1. Fountain Gate iliyokuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji Chukwunonye Macdonald aliyefunga kwa mkwaju wa Penati dakika ya 42 na kuipa timu yake matumaini ya kuondoka na…

Cynthia Michael · Read more

TRA, YANGA ZAGAWANA ALAMA, JKT, ‘GARI’ LIMEWAKA LIGI KUU YA NBC.

Michezo mitatu ya Ligi Kuu ya NBC msimu huu mzunguko wa tisa imeshuhudia TRA ikilazimishwa suluhu nyumbani na Yanga, JKT Tanzania ikiibuka na ushindi wa bao bao moja dhidi ya Kagera Sugar huku Namungo ikiichapa Coastal Union mabao 2-1. Baada ya suluhu hiyo iliyopatikana uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Yanga imeshindwa kupata ushindi kwenye…

Cynthia Michael · Read more

ANUARY WA MSIMU HUU ANA JAMBO LAKE LIGI KUU YA NBC.

MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Anuary Jabir ameendelea kuwa ‘mwamba’ kwenye Ligi Kuu NBC msimu wa 2026/27 baada ya kufikisha mabao sita yaliyofungwa ndani ya eneo la boksi. Jabir amefunga dhidi ya Azam katika mchezo na Polisi Tanzania, Dodoma Jiji, Coastal Union na Mbeya City ambapo alifunga mabao mawili kabla ya kuhitimisha orodha hiyo kwa bao…

Cynthia Michael · Read more

CHAMA KINARA WA MABAO YA GUU LA KULIA LIGI KUU YA NBC.

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba na raia wa Zambia, Clatous Chama, anaongoza orodha ya wachezaji waliofunga mabao mengi kwa kutumia mguu wa kulia katika msimu wa 2026/27 wa Ligi Kuu ya NBC hadi sasa, akiwa amefunga mabao manne ndani mizunguko nane ya ligi hiyo. Chama anaendelea kuonyesha uwezo wake wa kutumia mguu wa kulia…

Loveness Bernard · Read more

JKT YAICHAPA MBEYA CITY LIGI KUU YA NBC.

Ligi Kuu ya NBC imeendelea mzunguko wa nane ikiwakutanisha JKT Tanzania dhidi ya Mbeya City na JKT kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo saa 1:00 jioni. Mchezo huo ulianza kwa ushindani huku timu zote zikisaka nafasi ya kupata mabao ya mapema kabla ya JKT kuvunja ukimya…

Cynthia Michael · Read more

LADHA ZA LIGI KUU YA NBC ZIPO ISAMUHYO LEO.

LIGI Kuu ya NBC inaendelea kushuhudia ushindani huku macho ya mashabiki wa soka yakielekezwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo mkoani Dar es Salaam, ambako timu ya JKT Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mbeya City katika mchezo unaotarajiwa kupigwa saa 1:00 usiku. Mchezo huo unawakutanisha wapinzani wanaotofautiana kwa nafasi moja tu kwenye msimamo wa ligi, ambapo…

Loveness Bernard · Read more

KAGERA, POLISI ZAGAWANA ALAMA LIGI KUU YA NBC.

KAGERA Sugar na Polisi Tanzania zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa jana kwenye Uwanja wa Kaitaba, huku bao la dakika ya 90 la Keneth Kunambi likiivusha Polisi Tanzania na pointi moja. Kagera Sugar walionekana kuwa karibu na ushindi baada ya Nyenyezi Shabani kuifungia timu hiyo bao la kuongoza…

Loveness Bernard · Read more