TAARIFA KWA UMMA.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Nassor Idrissa, amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Kocha Msaidizi wa Klabu ya Pamba Jiji, Themi Felix kilichotokea Oktoba 17, 2026 mkoani Mwanza Kwa niaba ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Mwenyekiti ametoa pole kwa uongozi wa timu,wachezaji, benchi la ufundi, familia nzima ya Pamba…