YANGA, SIMBA ZAENDELEZA REKODI LIGI KUU YA NBC.
TIMU za Yanga na Simba zinashikilia rekodi za kipekee hadi hivi sasa kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu 2023/2024 zinapocheza viwanja vya nyumbani na ugenini kwa timu hizi. Yanga ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo wowote wa nyumbani kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu katika michezo 10 ya nyumbani Kati ya 20…