MZIZIMA ‘DERBY’ KUISIMAMISHA DAR ES SALAAM LEO.
MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC ‘Derby’ ya Mzizima unapigwa leo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa saa 12:15 jioni kati ya Azam na Simba. Mchezo huu unabeba hisia za watu wengi kutokana na nafasi za kila timu kwenye msimamo huku ukiwa ni mchezo wa hatma za timu hizi kwenye nafasi ya kuendelea kupambania ubingwa.…