News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

MABORESHO YA KANUNI TOLEO LA 2024

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF) katika kikao chake cha Agosti 1, 2024 ilijadili nakufanyia maamuzi maoni ya maboresho ya Kanuni za Ligikwa ajili ya toleo la 2024. Kanuni zilizofanyiwa maboresho na kupitishwa katikakikao hicho ni pamoja na Kanuni ya 7 ya First League kuhusu Nane Bora na Kanuni 7 (saba)…

Yahaya Abushehe · Read more

WAANDISHI WA HABARI WANOLEWA DAR ES SALAAM.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Leo Agosti 6 imeendesha semina ya siku moja ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuelekea msimu wa 2024/2025. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) ambaye pia ndiye mgeni rasmi alisisitiza waandishi kuwa na usawa katika kuwasilisha taarifa zao kwa…

Yahaya Abushehe · Read more

WANANCHI WAMEFURAHI.

TAMASHA la siku ya Mwananchi limehitimishwa Jana Agosti 4, 2024 kwa mchezo wa kimataifa wa Kirafiki kati ya Yanga na Red Arrows kutoka Zambia. Bao la kusawazisha la Mudathir Yahya na la pili kwa mkwaju wa penati likifungwa na Ki Aziz yalitosha kuipa ushindi Yanga wa mabao 2-1 huku bao pekee la Red Arrows…

Yahaya Abushehe · Read more

SIMBA DAY “YAFANA” BENJAMIN MKAPA.

I ‘IMEFANA’ ndivyo unavyoweza kusema, kilele cha SIMBA DAY kimefikiwa leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa kwa mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya Simba na APR ya Rwanda. Mchezo huo umemalizika kwa Simba kushinda kwa mabao 2-0 mabao ya Simba yakifungwa na Deborah Fernandes na Edwin Balua. Simba imetumia siku hii kutambulisha kikosi chake…

Yahaya Abushehe · Read more

LIGI KUU YA NBC RASMI AGOSTI 16.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza tarehe ya kuanza kwa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 kuwa ni Agosti 16, 2024. Kalenda ya matukio iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania inaonyesha kuwa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 itamalizika Mei 24,2025. Taarifa hiyo imeeleza tarehe ya kuanza na kumalizika kwa Ligi…

Yahaya Abushehe · Read more

TABORA UNITED YASALIA LIGI KUU YA NBC 2024/2025.

TABORA UNITED imefanikiwa kusalia Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao wa 2024/2025 baada ya Leo kuifunga Biashara United mabao 2-0 hivyo Kuvuka hatua ya mtoano kwa ushindi wa jumla 2-1. Ikumbukwe kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa mkoani Mara kwenye uwanja wa Karume Biashara United iliibuka na ushindi wa Bao 1. Kabla ya kukutana…

Yahaya Abushehe · Read more

TABORA , BIASHARA UNITED NANI KUKATA TIKETI YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025?

MKOANI Tabora leo Juni 16 unapigwa mchezo wa marudiano kutafuta ushiriki wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 unaozikutanisha timu za Tabora United na Biashara United. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 10:00 alasiri kwenye uwanja wa Ali Hassani Mwinyi, Tabora na kurushwa Mbashara na Azam Tv kupitia chaneli ya Azam Sports 1 HD.…

Yahaya Abushehe · Read more