RATIBA YA NBC CHAMPIONSHIP YATANGAZWA.
RATIBA ya Ligi ya NBC Championship imetangazwa leo Septemba 9, na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ikitarajiwa kuanza Septemba 20, 2024. Mechi za ufunguzi zitawakutanisha Mbeya City dhidi ya Bigman FC katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya saa 10:00 alasiri huku mchezo wa pili ukizikutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Green Warriors saa 10:00 alasiri…