KUFA AU KUPONA ‘KARIAKOO DERBY’ LIGI KUU YA NBC LEO.
LIGI Kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea leo kwa mchezo mmoja utakaokutanisha ‘Miamba’ wa Tanzania kwenye soka timu ya Simba itakayokuwa nyumbani kuikaribusha Yanga kwenye uwanja wa Mkapa, Dar saa 11:00 jioni. Huu ni mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu kwa timu hizo huku Simba ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza kwenye…