BALEKE AIBEBA YANGA LIGI KUU YA NBC
MSHAMBULIAJI wa Yanga Jean Baleke ameibeba timu yake baada ya kufunga bao na kuiwezesha timu hiyo kupata pointi 3 muhimu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha jana. Ilimchukua dakika 25 Baleke kuipa timu yake bao katika mchezo ulioonekana mgumu kwa timu zote…