News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

AZAM YATAMBA UGENINI ,SINGIDA, COASTAL HAKUNA MBABE

Ligi Kuu ya NBC jana iliendelea kwa michezo miwili iliyochezwa jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Azam Complex na Uwanja wa Amaan Complex visiwani Zanzibar. Timu ya Yanga ilikuwa mwenyeji wa Azam katika mchezo maarufu kama ‘dabi ya Dar es Salaam’ na kupoteza kwa bao moja huku beki wa Yanga Ibrahim Bacca akishindwa kumaliza…

Loveness Bernard · Read more

LAKE TANGANYIKA KUWAKA MOTO LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kwa mchezo kati ya Mashujaa itakayokuwa mwenyeji wa Simba saa 10:00 alasiri. Mashujaa iliyopoteza mchezo mmoja pekee msimu huu sawa na Simba inashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kupata sare kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Fountain Gate ugenini. Mashujaa imeshinda michezo…

Honest Mwanitega · Read more

YANGA YAKWEA KILELENI KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU YA NBC.

TIMU ya Yanga imeendeleza ubabe msimu huu baada ya kushinda mchezo wa nane mfululizo wa Ligi Kuu ya NBC kwa bao moja ugenini dhidi Singida Black Stars. Bao pekee la Yanga lilifunga na Pacome Zouzoua na kufanya Singida kupoteza mchezo wake wa kwanza msimu huu. Yanga imecheza mchezo wake wa nane msimu huu bila kuruhusu…

Honest Mwanitega · Read more

COASTAL YATAMBA, KENGOLD, DODOMA HAKUNA MBABE

LIGI Kuu ya NBC jana iliendelea katika viwanja vya Sokoine jijini Mbeya katika mchezo uliozikutanisha KenGold na Dodoma Jiji na kwenye uwanja Sheikh Amri Abeid Arusha Coastal Union wakiwakaribisha Kagera Sugar michezo iliyopigwa saa 10:00 alasiri. Katika michezo hiyo KenGold iligawana alama na timu ya Dodoma Jiji baada ya kutoka sare ya mabao 2-2…

Loveness Bernard · Read more

VITA YA KITAMBI NA GAMONDI NANI KUKAA KILELENI?

Ligi Kuu ya NBC kesho itaendelea Zanzibar kwa mchezo namba 40 utakaozikutanisha timu za Singida Black Star na Yanga utakaochezwa saa 2:30 usiku katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Katika mchezo huo timu mbili zinazoongoza msimamo wa Ligi Kuu ya NBC zitakutana, Singida Black Star iliyocheza michezo nane ikiongoza msimamo kwa kuwa na alama 22, ikifunga…

Loveness Bernard · Read more

NAMUNGO YAIZAMISHA PAMBA, FOUNTAIN GATE, MASHUJAA HAKUNA MBABE.

Ligi Kuu ya NBC imeendelea na kushuhudia michezo miwili ikichezwa katika viwanja vya Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara na Majaliwa mkoani Lindi. Mchezo wa kwanza uliochezwa majira ya jioni timu ya Fountain Gate iliikaribisha timu ya Mashujaa na kushuhudia sare ya mabao 2-2. Mabao ya Fountain Gate yalifungwa na Nicholas Gyan na Salum Kihimbwa huku magoli…

Loveness Bernard · Read more

DIARRA,CAMARA VINARA CLEAN SHEET LIGI KUU

GOLIKIPA wa Yanga na Simba, Djigui Diarra na Moussa Camara wameendelea kuwa vinara wa Ligi Kuu ya NBC kwa kuwa na clean sheet 6 kila mmoja hivyo kuzifanya timu hizo kuwa imara eneo la ulinzi. Diarra wa Yanga amepata Clean Sheet katika mechi 6 za Ligi Kuu ya NBC ambazo hajaruhusu bao lolote hivyo kuifanya…

Loveness Bernard · Read more

MICHEZO YA JKT LIGI KUU YA NBC YAAHIRISHWA.

MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya JKT Tanzania uliopaswa kuchezwa kesho Oktoba 29 umeahirishwa kutokana na timu ya JKT Tanzania kupata ajali ya basi eneo la Mbweni Dar es Salaam wakitokea Dodoma jana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Afisa Habari na Mawasiliano wa Bodi ya Ligi…

Honest Mwanitega · Read more

LIGI KUU NBC YAZIDI KUSHIKA KASI

LIGI Kuu ya NBC inazidi kushika kasi ikiwa ni mzunguko wa 9 wa ligi hiyo ambayo ni Ligi ya 6 kwa ubora barani Afrika na ya kwanza kwa ubora katika ukanda wa CECAFA na pili kwa ukanda wa nchi za kusini mwa Afrika ikiwa nyuma ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Ubora wa Ligi Kuu…

Honest Mwanitega · Read more