News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

TCHAKEI MCHEZAJI BORA OKTOBA, TAOUSSI AWABWAGA MOALLIN NA KITAMBI.

Mshambuliaji wa Singida Black Stars Marouf Tchakei amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha wa Azam Rachid Taoussi akichaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi huo. Tchakei amewashinda Lusajo Mwaikenda wa Azam na Pacome Zouzoua wa Yanga alioingia nao fainali za tuzo hizo baada ya kufunga mabao 3 na…

Loveness Bernard · Read more

MWALIMU KINARA WA TUZO LIGI YA NBC.

Mchezaji wa Fountain Gate Seleman Mwalimu ameendelea kuwa mwiba kwa mabeki wa timu za Ligi Kuu ya NBC kutokana na kufunga mabao sita hivyo kuwa mshambuliaji hatari zaidi awapo langoni mwa mpinzani. Licha ya kuongoza kwa idadi kubwa ya mabao pia Mwalimu anaongoza kuwa na tuzo nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Ligi hiyo baada ya…

Loveness Bernard · Read more

AHOUA HAKAMATIKI LIGI KUU NBC

Kiungo wa Simba Jean Ahoua amekuwa tishio katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuchangia mabao 9 kati ya 21 ambayo timu yake ya Simba imefunga katika mizunguko 10 iliyocheza. Ahoua ambaye amesajiliwa na Simba mwanzoni mwa msimu huu amefanikiwa kufunga mabao matano katika Ligi Kuu na kuhusika katika pasi nne zilizozaa mabao. Mchezaji huyo…

Loveness Bernard · Read more

YANGA KUJIULIZA KWA TABORA LEO.

BAADA ya kupoteza dhidi ya Azam, leo timu ya Yanga inashuka uwanjani kuikaribisha Tabora United ya Tabora saa 12:00 jioni kwenye uwanja wa Azam Complex, Dar. Yanga iliyopoteza mchezo uliopita nyumbani leo itakuwa tena mwenyeji wa Tabora iliyopata ushindi kwenye mchezo wake uliopita dhidi ya Mashujaa kwa bao 1-0. Yanga itajaribu kupata ushindi leo ili…

Honest Mwanitega · Read more

SIMBA YAITOLEA UVIVU KMC.

LIGI Kuu ya NBC iliendelea jana kwa mchezo mmoja uliochezwa katika Uwanja wa KMC, Dar es Salaam Simba waliwakaribisha KMC majira ya saa 10 alasiri na kufanikiwa kushinda 4-0. Awesu Awesu alifungua ukurasa wa mabao dakika 25 ya mchezo huo baada ya kupokea mpira kutoka kwa mshambuliaji wa timu hiyo Steven Mukwala hivyo kuiweka mbele…

Loveness Bernard · Read more

PAMBA JIJI YAONJA RAHA YA USHINDI, SIMBA, KMC HAPATOSHI LEO.

Ligi Kuu ya NBC jana iliendelea kwa mchezo mmoja uliochezwa katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara ambapo Fountain Gate waliwakaribisha timu ya Pamba Jiji kutoka Mwanza. Iliwachukua dakika 28 Fountain Gate kufungua ukurasa wa mabao kupitia mchezaji wake Ellie Makono ambapo dakika ya 34 Pamba Jiji waliweka mzani sawa kwa kupata bao kupitia mchezaji…

Loveness Bernard · Read more

KARIA AZITAKA KLABU LIGI KUU KUTOKA NA AZIMIO MOJA

Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia amezitaka klabu za Ligi Kuu ya NBC kutoka na azimio moja mara baada ya mafunzo ya Weledi katika Uendeshaji wa klabu nchini kwa Watendaji Wakuu na Wenyeviti wa Klabu. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo Karia amesema kuwa Klabu zinapaswa kuwa na azimio moja kwa ajili…

Loveness Bernard · Read more

MTINE, POPAT WAFUNGUKA SEMINA YA FIFA UENDESHAJI KLABU NCHINI.

Watendaji Wakuu wa Klabu za Yanga na Azam wameshukuru Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) wakishirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Pamoja na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kuandaa semina ya siku mbili jijini Dar es salaam kuhusu Weledi katika Uendeshaji wa klabu nchini kwa Watendaji Wakuu na Wenyeviti wa Klabu zinazoshiriki Ligi…

Loveness Bernard · Read more

KARIA AFUNGUA SEMINA YA FIFA KUHUSU WELEDI KATIKA UENDESHAJI KLABU NCHINI.

Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia amefungua semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) jijini Dar es salaam kuhusu weledi katika uendeshaji wa klabu nchini kwa wenyeviti na watendaji wakuu. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo Karia amewashukuru timu ya FIFA chini ya Mkuu wa Maendeleo ya…

Loveness Bernard · Read more