LIGI KUU NBC KUSIMAMA KWA MIEZI MIWILI
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi kuwa baada ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC iliyofanyika Desemba 29, 2024, Ligi hiyo itasimama hadi Machi 1, 2025 itakaporejea kwa michezo ya mzunguko wa 17. Kusimama kwa Ligi hiyo ni kutokana na kupisha michuano ya kuwania Kombe la Mapinduzi itakayofanyika kisiwani Pemba na Fainali za…