LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC ‘KINAPIGWA’ SANA
TAYARI mizunguko 19 ya Ligi ya Championship ya NBC imeshachezwa hadi sasa na kushuhudiwa kwa ushindani mkubwa wa nafasi kwenye msimamo wa ligi hiyo. Mtibwa Sugar inaendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo ikiwa na alama 45 ikifuatiwa na Geita Gold kwenye nafasi ya pili ikiwa na alama 42, Stand United ipo nafasi ya…