News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

NI VITA YA ‘TOP FOUR’ NBC CHAMPIONSHIP LEO.

MICHEZO mitatu ya Ligi ya Championship ya NBC inapigwa leo Machi 17 ambapo mikoa ya Geita, Mbeya na Shinyanga itakuwa wenyeji wa michezo hiyo. Michezo ya Leo inazikutanisha baadhi ya timu zinazopambana kujiweka vizuri kwenye nafasi nne za juu za msimamo wa Ligi ya Championship ya NBC. Stand United iliyo nafasi ya tatu na alama…

Yahaya Abushehe · Read more

SIMBA KUWAVAA DODOMA LEO LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea leo kwa mchezo mmoja utakaozikutanisha timu za Simba dhidi ya Dodoma kwenye uwanja wa KMC Complex, Dar. Simba iliyoshinda mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC uliopita ugenini dhidi ya Coastal Union kwa mabao 3-0 inakutana na Dodoma Jiji iliyolazimishawa suluhu na Coastal kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Timu…

Honest Mwanitega · Read more

MTIBWA ‘MBABE’ NYUMBANI NA UGENINI NBC CHAMPIONSHIP.

TIMU ya Mtibwa Sugar inayoshikilia usukani wa Ligi ya Championship ya NBC imeendelea kuwa ‘Mwiba’ kwa timu za ligi hiyo kwa kushinda michezo mingi nyumbani na ugenini kuliko timu zote. Mtibwa imeshinda michezo 11 nyumbani kwenye uwanja wa Manungu Complex, Morogoro huku ikishinda sita kwenye michezo yake ya ugenini na kuwa kinara wa ushindi nyumbani…

Honest Mwanitega · Read more

KYARUZI,SIMCHIMBA WANG’ARA TUZO ZA NBC CHAMPIONSHIP

BEKI wa Mtibwa Sugar Erick Kyaruzi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Januari wa Ligi ya NBC Championship 2024/25, huku Awadh Juma wa Mtibwa Sugar akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kyaruzi aliyeingia fainali katika mchakato huo na Raizin Hafidh wa Mtibwa Sugar na Boniface Maganga wa Mbeya Kwanza, alionesha kiwango chenye mwendelezo katika safu…

Loveness Bernard · Read more

DUBE MCHEZAJI BORA FEBRUARI LIGI KUU YA NBC

MSHAMBULIAJI wa timu ya Young Africans (Yanga) ya Dar es Salaam, Prince Dube, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2024/25, huku Miloud Hamdi pia wa Yanga akichaguliwa Kocha Bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo. Dube alionesha kiwango kizuri chenye mwendelezo akiwashinda Aziz Ki wa Yanga…

Loveness Bernard · Read more

NBC CHAMPIONSHIP ‘BOLI’ LINACHEZWA.

TAYARI michezo 176 kati ya 240 ya Ligi ya Championship ya NBC imeshachezwa huku ushindani mkubwa ukionekana baina ya timu zinazoshiriki ligi hiyo ambayo Mtibwa Sugar ipo kileleni kwasasa ikiwa na alama zake 54 baada ya michezo 22 ya Ligi hiyo. Kwa upande wa nafasi nne za juu ushindani ni mkubwa huku kila timu zikitafuta…

Yahaya Abushehe · Read more

LIGI KUU NBC KUWAKA VIWANJA VITATU LEO.

LIGI Kuu ya NBC inaendelea leo kwa michezo mitatu itakayochezwa kwenye viwanja vitatu tofauti, miwili ikipigwa jijini Dar es salaam na mwingine mkoani Lindi. Mchezo wa kwanza utazikutanisha timu za KMC dhidi ya Fountain Gate kwenye uwanja wa KMC Complex uliopo Dar es Salaam saa 10:00 alasiri. Fountain Gate inashika nafasi ya nane katika msimamo…

Loveness Bernard · Read more

KENGOLD,MASHUJAA HAKUNA MBABE LIGI KUU NBC

MZUNGUKO wa 23 wa Ligi Kuu ya NBC umeendelea kwa mchezo mmoja uliochezwa uwanja wa Sokoine Mbeya majira ya saa kumi alasiri. Mchezo ulianza kwa timu zote kusomana kwa kuwa zilikuwa zinahitaji kupata alama tatu mhimu ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi. Iliwachukua dakika 21 kwa Mashujaa kupata bao la kwanza kupitia mchezaji Jafari Kibaya…

Loveness Bernard · Read more