HAUSUNG RASMI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC
TIMU ya Hausung kutoka Makambako mkoani Njombe imekuwa timu ya kwanza kupanda daraja kwenda Ligi ya Championship ya NBC kutoka kundi A la First League. Hausung wenye alama 25 huku wakiwa wanaongoza kundi A wamefanikiwa kupanda daraja baada ya kucheza michezo 13 kati ya 14 ambayo wanapaswa kucheza. Mbali na alama hizo Hausung wamefanikiwa kufunga…