SIMBA ‘YATAKATA’ DHIDI YA MASHUJAA LIGI KUU YA NBC
LIGI Kuu ya NBC imeendelea leo kwa mchezo mmoja uliochezwa majira ya saa kumi jioni katika uwanja wa KMC mkoani Dar es Salaam ambapo Simba waliwakaribisha timu ya Mashujaa kutoka mkoani Kigoma. Mchezo ulianza kwa kasi ambapo kila timu ilionyesha ikitaka kupata alama tatu ambapo iliwachukua dakika tano timu ya Mashujaa kufungua ukurasa wa mabao…