News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

MBEYA CITY WAKALI WA ‘KUTUPIA’ NBC CHAMPIONSHIP

TIMU ya Mbeya City imeendelea kuongoza kwa kufunga mabao kuliko timu yoyote katika Ligi ya Championship ya NBC licha ya kuwa katika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi hiyo. Mbeya City wamefanikiwa kufunga mabao 58 katika michezo 28 ambayo timu hiyo imecheza huku ikiwa imeruhusu mabao 26 na kukusanya alama 62 ikiwa nafasi ya…

Loveness Bernard · Read more

YOUNG AFRICANS ‘HAWACHEKESHI’ NDANI YA BOKSI

UTAMU wa Ligi Kuu ya NBC unazidi kukolea ikiwa ni mzunguko wa 27 wa Ligi hiyo huku timu ya Young Africans ikiongoza kwa kufunga mabao mengi ndani ya eneo la boksi (18). Young Africans imefanikiwa kufunga mabao 55 ndani ya boksi ikiwa ni mabao mengi kufungwa na timu kwenye Ligi Kuu ya NBC. Simba nayo…

Loveness Bernard · Read more

FEISAL TISHIO LIGI KUU YA NBC

KIUNGO wa Azam Feisal Salum ameendelea kuwa kinara wa kutoa Pasi za mabao katika Ligi Kuu ya NBC akiwa na Pasi 13 katika mechi 11 alizocheza msimu huu hadi sasa. Pacome Zouzoa wa Yanga anashika nafasi ya pili akiwa na Pasi 9 huku akifuatiwa na wachezaji wenzake Maxi Nzengeli wa Yanga na Prince Dube wenye…

Cynthia Michael · Read more

LIGI KUU YA NBC KUREJEA MEI 2

LIGI Kuu ya NBC, Ligi namba nne kwa ubora barani Afrika itarejea Mei 2 kwa mchezo kati ya Simba itakayokuwa mwenyeji wa timu ya Mashujaa kutoka mkoani Kigoma. Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa KMC Complex uliopo mkoani Dar es Salaam ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa 24 uliosogezwa kutokana na timu ya Simba kuwa…

Loveness Bernard · Read more

SIMBA YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA.

MWAKILISHI pekee wa Ligi Kuu ya NBC kimataifa timu ya Simba imefanikiwa kutinga fainali baada ya kuiondoa timu ya Stellenbosch kutoka Afrika Kusini kwa matokeo ya jumla kwa bao 1-0. Simba imelazimisha suluhu ugenini kwenye uwanja wa Moses Mabhida na kufanikiwa kufuzu baada ya faida ya ushindi wa 1-0 iliyopata kwenye mchezo wa nyumbani uliopigwa…

Honest Mwanitega · Read more

MTIBWA YAPANDA RASMI LIGI KUU YA NBC

TIMU ya Mtibwa Sugar imepanda rasmi Ligi Kuu ya NBC ambayo ni Ligi namba nne kwa ubora barani Afrika wakitokea Ligi ya Championship ya NBC baada ya kufanikiwa kufikisha alama 67 ambazo hakuna timu itaweza kuzifikia katika michezo 28 abayo timu hiyo imeshacheza mpaka sasa. Mtibwa ambayo ilishuka daraja msimu uliopita na sasa wamerejea rasmi…

Loveness Bernard · Read more

LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC YABAKIZA MIZUNGUKO MITATU

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inautaarifu umma kuwa Ligi ya Championship ya NBC msimu wa 2024/2025 inaingia kwenye mzunguko wa 28 leo Jumamosi Aprili 26, 2025 ambapo kila klabu imesaliwa na michezo mitatu tu kabla ya kumaliza msimu. Bodi ilipanga na kutangaza kuwa michezo yote ya kila mzunguko uliosalia itachezwa katika tarehe na muda…

Loveness Bernard · Read more

SIMCHIMBA KINARA WA MABAO LIGI YA NBC CHAMPIONSHIP

Ikiwa imesalia michezo mitatu ya Ligi ya Championship ya NBC vita ya ufungaji wa mabao ikiendelea kushika kasi baada ya mchezaji wa Geita Gold kutoka mkoani Geita, Andrew Simchimba, kuongoza akiwa ameshatupia mabao 18 katika mechi 20 ambazo amecheza akiwa na timu yake hiyo. Nafasi ya pili ikishikiliwa na mchezaji Raizin Hafidhi wa Mtibwa Sugar…

Cynthia Michael · Read more

VIWANJA NANE ‘KUWAKA MOTO’ LIGI YA NBC CHAMPIONSHIP KESHO

LIGI ya NBC Champioship inaendelea kushika kasi ikielekea mwishoni na hapo kesho michezo nane ya mzunguko wa 28 itachezwa katika viwanja mbalimbali nchini majira ya saa kumi jioni . Timu ya Cosmopolitan ambayo iko nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Ligi ya Championship ya NBC itaikaribisha timu ya Stand United iliyopo nafasi ya tatu kwenye…

Loveness Bernard · Read more