KIVUMBI CHA LIGI KUU YA NBC KUENDELEA LEO.
IKIELEKEA siku za mwisho za msimu wa 2024/25 Ligi Kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea leo kwa mchezo mmoja utakaokutanisha timu ya Simba itakayokuwa uwanja wa nyumbani wa KMC Complex dhidi ya Pamba Jiji kutoka Mwanza. Simba iliyoshinda mchezo wake uliopita kwa bao moja ugenini dhidi ya JKT Tanzania inarudi uwanjani leo kucheza na Pamba Jiji…