TAARIFA YA KAMATI YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI YA BODI YA LIGI KUU TANZANIA (TPLB)
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Juni 2, 2025 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo; Ligi Kuu ya NBC Mechi Namba 190: Simba SC 2-1 Mashujaa FC Mchezaji wa klabu ya Mashujaa, Seif Abdallah amefungiwa michezo mitatu (3)…