AZAM YALIPA KISASI KWA TABORA LIGI KUU YA NBC.
TIMU ya Azam imeshusha kipigo kizito cha mabao 5-0 kwa timu ya Tabora United na kulipa kisasi cha kufungwa 2-1 na timu hiyo kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza. Dakika 11 zilimtosha Abdul Suleiman ‘Sopu’ kufungua ukurasa wa mabao kwa timu yake huku winga wa timu hiyo Gibril Sillah akiiongezea timu yake mabao mawili dakika…