News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

HAKUNA MBABE KMC COMPLEX LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC imeendelea kwa mchezo uliochezwa uwanja wa KMC majira ya saa Moja jioni Mkoani Dar es Salam uliozikutanisha KMC dhidi ya Tanzania Prisons na kumalizika kwa Sare ya bao 1-1. Kipindi cha kwanza kilianza kwa kasi huku Tanzania Prisons wakitangulia kupata bao la mapema dakika ya tano kupitia kwa Jeremiah Juma.…

Cynthia Michael · Read more

VITA YA MABAO YA NJE YA BOKSI INAVYOKWENDA LIGI KUU YA NBC.

MSIMU wa Ligi Kuu ya NBC unaendelea huku ushindani wa mabao ya nje ya boksi ukishika kasi na wachezaji wakionyesha uwezo mkubwa wa kupiga mashuti ya mbali na kufunga mabao ya kuvutia. Kinara wa orodha hiyo ni Ismail Mhesa kutoka Mtibwa Sugar akiwa amefunga mabao matatu nje ya boksi na kuonyesha ubora mkubwa wa…

Cynthia Michael · Read more

KMC, PRISONS NANI KUMFUNGA PAKA KENGELE LIGI KUU YA NBC?

LIGI Kuu ya NBC inarejea rasmi leo mkoani Dar es Salaam kwa mchezo mmoja baada ya mapumziko mafupi kwa ajili ya michezo ya Kombe la Shirikisho ambapo timu ya KMC itaikaribisha timu ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex majira ya saa 1:00 usiku. Mchezo huo ni muhimu kwa timu zote mbili kwani zinatafuta…

Loveness Bernard · Read more

TRA KUIVAA SIMBA, MBEYA CITY WENYEJI WA AZAM.

LIGI Kuu ya NBC itaendelea leo kwa michezo miwili itakayopigwa kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha ambapo timu ya TRA United itaikaribisha timu ya Simba na kwenyw uwanja wa Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara Mbeya City itaialika timu ya Azam. Michezo hiyo itakayochezwa saa kumi jioni ni muhimu kwa timu zote kutokana na timu…

Loveness Bernard · Read more

IMORO,BARKER WANG’ARA TUZO MACHI

BEKI wa Singida Black Stars, Ibrahim Imoro amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2025/26, huku Steve Barker wa Simba akichaguliwa Kocha Bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo. Imoro alionesha kiwango kizuri chenye mwendelezo kwa mwezi huo ikiwa ni pamoja na kufunga mabao matatu katika michezo…

Loveness Bernard · Read more

TAARIFA YA MCHEZO WA TRA DHIDI YA SIMBA.

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inautaarifu umma kuwa mchezo namba saba (7) wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 (TRA United FC vs Simba SC), utafanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Aprili 9, 2026 kuanzia saa 10:00 alasiri. Aidha, Bodi inatoa taarifa kuwa mashabiki wote ambao walinunua tiketi kwa ajili…

Loveness Bernard · Read more

SINGIDA KUIKARIBISHA KMC, PAMBA, YOUNG AFRICANS KUKIPIGA KIRUMBA.

LIGI Kuu ya NBC itaendelea leo kwa michezo miwili itakayopigwa kwenye viwanja vya Airtel mkoani Singida ambapo Singida Black Stars itaialika KMC na CCM Kirumba mkoani Mwanza timu ya Pamba Jiji itaikaribisha timu ya Young Africans. Michezo hiyo ni muhimu kwa timu zote kutokana na namna Ligi hiyo inavyozidi kupamba moto, Singida Black Stars iliyopo…

Loveness Bernard · Read more

MZIZIMA DERBY KUNOGESHA LIGI KUU YA NBC LEO.

MACHO na masikio ya mashabiki wa soka Tanzania leo yataelekezwa Azam Complex, Chamazi, ambapo vigogo wa Dar es Salaam, Azam na Simba watakutana katika pambano kubwa linalojulikana kama Mzizima Derby. Mchezo huu unasubiriwa kwa hamu kubwa kutokana na ushindani wa kihistoria wa timu hizi mbili na umuhimu wake kwenye mbio za juu ya msimamo wa…

Honest Mwanitega · Read more