News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

BALEKE AONGOZA MBIO ZA UFUNGAJI LIGI KUU YA NBC.

MBIO za kuwania kiatu cha ufungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24 zimeendelea kupamba moto huku michezo mitano ikiwa imekamilika kwa kila timu. Jean Baleke wa Simba ndiye kinara wa ufungaji akiwa na mabao matano huku akifanikiwa kufunga mabao matatu kwenye mchezo mmoja (Hat-Trick) dhidi ya Coastal Union. Feisal Salum wa Azam…

Honest Mwanitega · Read more

TABORA YATAMBA NYUMBANI, AZAM YAPANDA KILELENI LIGI KUU YA NBC.

TIMU ya Tabora United imeendelea na wimbi la matokeo mazuri ikicheza uwanja wa nyumbani baada ya Leo kuifunga Dodoma Jiji mabao 2-1 katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Tabora imekusanya jumla ya alama nane na kushika nafasi ya tano huku ikiwa timu ya tatu kwa kufunga mabao mengi kwenye uwanja wa nyumbani (matano) sawa…

Yahaya Abushehe · Read more

SIMBA YAKAA KILELENI, SINGIDA IKITAMBA LIGI KUU NBC.

TIMU ya Simba imeshinda mchezo wa nne mfululizo wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu na kukaa nafasi ya kwanza kwenye msimamo baada ya kuifunga Tanzania Prisons ya Mbeya mabao 3-1 kwenye uwanja wa Sokoine, Mbeya. Mabao ya Clatous Chama, John Bocco na Saidi Ntibazonkiza yameifanya Prisons iliyokuwa ya Kwanza kupata bao kupitia kwa Edwin…

Honest Mwanitega · Read more

WASHINDI TUZO ZA MWEZI SEPTEMBA LIGI KUU YA NBC.

KAMATI ya tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemtangaza mchezaji wa timu ya KMC ya Dar Waziri Junior kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya NBC kwa mwezi Septemba akiwashinda Jean Baleke wa Simba na John Nakibinge wa Tabora United. Waziri ameifungia timu yake mabao mawili na kuisaidia kushinda michezo miwili ya…

Honest Mwanitega · Read more

VITA YA WABABE WA NBC CHAMPIONSHIP NDANI YA LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC itaendelea leo kwa michezo miwili kwenye mikoa ya Shinyanga na Dodoma. Wababe wawili wa ligi ya NBC Championship msimu uliopita JKT Tanzania na Mashujaa wanakutana kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi Kuu ya NBC katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga saa 10:00 alasiri. JKT Tanzania imeshinda mchezo mmoja…

Yahaya Abushehe · Read more

MBEYA KWANZA, MBUNI ZAPETA NBC CHAMPIONSHIP.

TIMU za Mbeya Kwanza na Mbuni zimecheza michezo minne ya Ligi ya NBC Championship bila kupoteza baada ya kila moja kupata ushindi leo. Mbeya Kwanza inayotumia uwanja wa Nangwanda Sijaona imeifunga Kengold ya Mbeya kwa bao moja kwenye mchezo uliochezwa mapema saa 8:00 mchana. Mbuni imepata ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Cosmopolitan kwenye…

Honest Mwanitega · Read more

TMA KINARA NBC CHAMPIONSHIP.

TIMU ya TMA FC ya Arusha imeendeleza mwanzo mzuri wa Ligi ya Championship ya NBC kwa ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Pan African ya Dar . TMA imecheza mchezo wa nne mfululizo bila kupoteza ikifikisha alama nane na kuongoza msimamo wa Ligi ya Championship huku ikiwa mojawapo ya timu zilizopanda daraja msimu huu.…

Honest Mwanitega · Read more

LIGI KUU YA NBC YAENDELEA COASTAL, JKT ZABANWA NYUMBANI.

LIGI Kuu ya NBC imeendelea leo kwa michezo miwili, JKT Tanzania wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani CCM Kambarage mkoani Shinyanga wametoka sare ya bao moja na Kagera Sugar. Bao la JKT lilifungwa na Danny Lyanga Dakika ya 90+6 kwa mkwaju wa penati huku bao la Kagera Sugar likifungwa na Gasper Mwaipasi dakika ya…

Yahaya Abushehe · Read more