KMC NDANI YA TATU BORA LIGI KUU YA NBC.
LIGI KUU ya NBC imeendelea Leo kwa Mchezo mmoja katika uwanja wa Uhuru, Dar na kushuhudia KMC akiibuka na Ushindi wa Bao moja dhidi ya Mtibwa Sugar, lililowapeleka mpaka nafasi ya tatu ya msimamo wa Ligi Kuu ya NBC. Bao pekee na la ushindi kwa KMC limefungwa na Ibrahim Elias Dakika ya 15 ya…