News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

HAZIJAPOTEZA MCHEZO WOWOTE NYUMBANI NBC CHAMPIONSHIP.

JUMLA ya mizunguko 17 sawa na michezo 136 ya Ligi ya NBC Championship tayari imeshachezwa na kushuhudia jumla ya mabao 302 yakifungwa mpaka sasa. KenGold, Pamba, Mbeya kwanza na TMA ndiyo timu pekee ambazo hazijapoteza mchezo wowote wa nyumbani ndani ya Ligi ya NBC Championship mpaka kufikia hivi sasa. Pamba,Mbeya Kwanza na TMA zimecheza…

Yahaya Abushehe · Read more

MZUNGUKO WA 17 NBC CHAMPIONSHIP WATAMATIKA, KENGOLD KINARA.

MZUNGUKO wa 17 wa Ligi ya NBC Championship umetamatika jana Januari 14 kwa michezo nane kupigwa na jumla ya mabao 16 kufungwa kwa mzunguko huo pekee. KenGold inaendelea kushikilia usukani wa Ligi hiyo baada ya kufikisha jumla ya alama 39 kwenye michezo 17 huku ikifunga mabao 30 na kuruhusu kufungwa mabao 10. Ruvu Shooting…

Yahaya Abushehe · Read more

MECHI TATU NBC CHAMPIONSHIP KUPIGWA LEO, ZOTE MUBASHARA TV3.

LIGI ya NBC Championship inaendelea hii leo kwa michezo mitatu kupigwa huku yote ikionyeshwa mubashara kupitia TV3. Mapema saa 8:00 Mchana Stand united itaikaribisha Mbuni kwenye uwanja wa Mwadui Complex mkoani Shinyanga. Mkoani Mtwara Mbeya kwanza itakuwa mwenyeji wa FGA talents kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona saa 10:00 alasiri na kuoneshwa Live kupitia ST BONGO…

Yahaya Abushehe · Read more

KENGOLD YAJIKITA KILELENI NBC CHAMPIONSHIP, RUVU, POLISI HAKUNA MBABE.

KENGOLD imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi ya NBC Championship baada ya leo kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Green Warriors na kufikisha jumla ya alama 39 kwenye michezo 17. Ruvu Shooting imelazimishwa suluhu na Polisi Tanzania mchezo uliochezwa uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma saa 10:00 alasiri. Transit ikiwa katika uwanja…

Yahaya Abushehe · Read more

NBC CHAMPIONSHIP HAKUNA KULALA MICHEZO MITATU KUPIGWA LEO.

LIGI ya NBC Championship inaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa kwenye mikoa mitatu tofauti. Green Warriors itaikabili KenGold vinara wa NBC Championship saa 8:00 mchana kwenye uwanja wa Mabatini mkoani Pwani. Ruvu Shooting itaikaribisha Polisi Tanzania saa 10:00 alasiri kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. Mchezo wa mwisho utakuwa kati ya Transit Camp na…

Yahaya Abushehe · Read more

SIMBA KUUNGURUMA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI LEO.

FAINALI ya kombe la Mapinduzi inachezwa leo januari 13 kwenye uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ambapo mwakilishi pekee wa Ligi Kuu ya NBC Simba itacheza dhidi ya Mlandege. Hii ni mara ya 10 Simba kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi na kuandika historia kuwa timu iliyocheza fainali nyingi zaidi ya kombe hilo. Mlandege…

Yahaya Abushehe · Read more

COSMOPOLITAN, BIASHARA ZATAKATA NBC CHAMPIONSHIP LEO.

MZUNGUKO wa 17 Ligi ya NBC Championship umeanza leo kwa michezo miwili Kupigwa. Cosmopolitan ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani Mabatini mkoani Pwani ikaibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Copco. Saa 10:00 alasiri Biashara iliwaalika TMA kwenye uwanja wa Karume, Mara na kumalizika kwa Biashara kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Biashara…

Yahaya Abushehe · Read more

BIASHARA, TMA NANI KUSHIKA USUKANI WA NBC CHAMPIONSHIP LEO ?

LIGI ya NBC Championship mzunguko wa 17 inaanza leo kwa michezo miwili kupigwa kwenye mikoa miwili. Mapema saa 8:00 mchana Cosmopolitan itakuwa mwenyeji wa Copco kwenye uwanja wa Mabatini mkoani Pwani. Cosmopolitan ipo nafasi ya 14 katika msimamo wa NBC championship baada ya kukusanya alama 14 katika michezo 16 huku Copco ikiwa nafasi ya…

Yahaya Abushehe · Read more

SIMBA YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI.

Simba imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Singida FG kwa mikwaju ya penati 3-2 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1. Singida ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 11 ya mchezo likifungwa na mchezaji Elvis Rupia huku bao la kusawazisha la Simba likifungwa na…

Yahaya Abushehe · Read more