KMC, COASTAL ZATAMBA LIGI KUU YA NBC
LIGI Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 imefunguliwa kwa michezo iliyochezwa kwenye viwanja vya KMC Complex mkoani Dar es salaam na Mkwakwani, Tanga na kushuhudia KMC na Coastal Union zikitamba kwa ushindi nyumbani. Goli pekee la ushindi la KMC lilifungwa na Daruweshi Saliboko dakika ya 56 kipindi cha pili baada ya kipindi cha kwanza kumalizika…