News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

SIMBA, PRISONS ZANG’ARA LIGI KUU YA NBC.

TIMU za Simba na Tanzania Prisons zimetakata katika viwanja vya nyumbani baada ya kuibuka na ushindi katika michezo yao ya kukamilisha mzunguko wa 26. Mchezo Simba na Pamba ulianza kwa kasi kila timu ikicheza kwa tahadhari kubwa ambapo ilimchukua dakika saba kiungo wa Simba, Ellie Mpanzu kufungua ukurasa wa mabao na dakika ya 18 Mathew…

Loveness Bernard · Read more

MBILI ZA MOTO LEO LIGI KUU YA NBC.

MZUNGUKO wa 26 wa Ligi Kuu ya NBC unatamatika leo kwa michezo miwili itakayochezwa mkoani Dar es Salaam na Mbeya. Simba iliyopo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC inayosaka nafasi ya kutwaa ubingwa itakuwa mwenyeji wa timu ya Pamba Jiji kutoka jijini Mwanza inayoshika nafasi ya saba ambapo timu hiyo inatafuta…

Loveness Bernard · Read more

NBC CHAMPIONSHIP YA MOTO LEO.

MZUNGUKO wa 29 wa Ligi ya NBC Championship unaendelea leo kwa michezo nane itakayochezwa majira ya saa kumi jioni. Mchezo wa kwanza utakuwa uwanja wa Majimaji ambapo Songea United itakuwa mwenyeji wa timu ya Hausung huku Ken Gold ikichuana na B19 kwenye uwanja wa Chunya mkoani Mbeya. Polisi Tanzania itaikaribisha timu ya Mbeya Kwanza katika…

Loveness Bernard · Read more

MBEYA CITY, YOUNG AFRICANS, SINGIDA ZATAMBA LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC iliendelea jana kwa michezo mitatu iliyokuwa na ushindani mkubwa, huku vinara Young Africans wakiendelea kuimarisha nafasi yao kileleni mwa msimamo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Kiungo Mudathir Yahya aliwatanguliza ‘wananchi’ mbele dakika ya 29 kabla ya beki Bakari…

Cynthia Michael · Read more

MIKOA MITATU KINAPIGWA LEO LIGI KUU YA NBC.

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo, kwa michezo mitatu muhimu ambayo inaweza kuathiri mbio za ubingwa, nafasi za juu kwenye msimamo pamoja na vita ya kujiokoa dhidi ya kushuka daraja. Mbeya City na Mtibwa Sugar watacheza Saa 8:00 mchana Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya huku ‘wababe’ hao wa ‘Green city’ wakisaka alama muhimu ili kujiimarisha…

Cynthia Michael · Read more

AZAM YATAKATA ARUSHA, KMC IKISHUKA DARAJA.

TIMU ya Azam imetakata katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya kuvuna alama tatu na mabao mawili baada ya kuichapa timu ya Fountain Gate katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid . Mchezo huo uliopigwa saa kumi jioni ulianza kwa timu zote kushambuliana kwani kila timu ilizitaka alama tatu muhimu. Ilimchukua…

Loveness Bernard · Read more

GREEN WARRIORS YAAGA RASMI FIRST LEAGUE.

TIMU ya Green Warriors imeshuka daraja rasmi baada ya kupoteza mchezo wa leo kwa 3-2 dhidi ya Nyumbu ugenini kwenye mchezo wa Ligi ya First League. Green imekusanya alama 11 kwenye michezo 14 iliyocheza ambazo hazikutosha kuwaweka salama kwenye ligi hiyo na hivyo kushuka hadi Ligi ya Mabingwa wa Mikoa kwa msimu wa 2026/27. Nyumbu…

Loveness Bernard · Read more

LIGI KUU YA NBC YAREJEA.

LIGI Kuu ya NBC inarejea leo kwa michezo mitatu itakayochezwa Dar es Salaam, Arusha na Tanga baada ya mapumziko ya takribani wiki mbili kupisha michezo ya kalenda ya FIFA. Michezo miwili ya kwanza itapigwa majira ya saa kumi jioni mkoani Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid ambapo timu ya Fountain Gate iliyopo nafasi ya…

Loveness Bernard · Read more

OKELLO, BARKER WANG’ARA TUZO MEI.

KIUNGO mshambuliaji wa Young Africans, Allan Okello, amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2025/26, huku Steve Barker wa Simba akichaguliwa Kocha Bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo. Okello alionyesha kiwango kizuri chenye mwendelezo kwa mwezi huo ikiwa ni pamoja na kufunga mabao tisa na kuhusika…

Loveness Bernard · Read more