POLISI TANZANIA KUTOKA MKIANI LEO ?
TIMU ya Polisi Tanzania ikiwa imeshinda michezo michache (2) kuliko timu yoyote katika Ligi Kuu NBC msimu huu leo inawakaribisha Azam FC katika uwanja wa Ushirika, mkoani Kilimanjaro saa 10:00 alasiri. Polisi imeshinda mchezo mmoja katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Namungo ya mkoani Lindi kwa bao 1-0 na mchezo mmoja ugenini dhidi ya Ihefu…