KMC, RUVU SHOOTING, HALI NI TETE
MCHEZO wa Ligi Kuu NBC kati ya Dodoma Jiji dhidi ya KMC umemalizika kwa kushuhudia kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ akianza mchezo wake wa kwanza kama kocha mkuu wa KMC kwa kufungwa bao 1. Bao la Dodoma Jiji limefungwa dakika ya 19 na mshambuliaji Collins Opare aliefikisha mabao saba na kuendelea kuididimiza KMC nafasi ya 14…