News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

CHAMA MKALI WA ‘GUU’ LA KULIA LIGI KUU YA NBC.

KIUNGO Mshambuliaji wa timu ya Simba inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Clatous Chama amezidi kuonyesha umahiri wa mguu wake wa kulia baada ya kufunga mabao manne kwa mguu huo. Mabao hayo aliyapata katika mchezo dhidi ya Pamba Jiji uliochezwa CCM Kirumba, Mwanza, Singida Black Stars katika uwanja wa Airtel mkoani Singida, dhidi ya Geita…

Loveness Bernard · Read more

KMC YANG’ARA; TRANSIT CAMP NA KENGOLD ZAVUNA ALAMA TATU.

Ligi ya championship ya NBC msimu wa 2026/27 uliendelea jana, kwa michezo ya raundi ya pili ambapo jumla ya mechi nne zilichezwa katika viwanja mbalimbali zote zikianza saa 10:00 jioni. Katika uwanja wa Uhuru,Dar es saalam Transit Camp ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TMA Stars. Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na Kalegea…

Cynthia Michael · Read more

MTIBWA, BANDARI ‘ZAOKOTA’ TATU ZA KWANZA NBC CHAMPIONSHIP.

Ligi ya Championship imeendelea kwa michezo miwili iliyochezwa katika viwanja tofauti, huku mtibwa sugar na Bandari zikiibuka na ushindi wa kwanza msimu huu katika mechi za raundi ya pili . Katika uwanja wa Manungu ulioko mkoani Morogoro, Mtibwa Sugar imeifunga Mbuni mabao 2-1. Mtibwa Sugar ilipata mabao yake kupitia kwa Musa…

Cynthia Michael · Read more

LIBASSE HAKAMATIKI PASI SAIDIZI LIGI KUU YA NBC.

Mzunguko wa sita wa Ligi Kuu ya NBC umetamatika huku vita ya pasi saidizi za mabao ikionekana kuanza kukolea kutokana na namna ambavyo wachezaji wanapambana kuweza kukusanya pasi hizo. Libasse Gueye wa Simba ndie kinara wa mbio hizo akifanikiwa kuweka pasi saidizi tano ndani ya michezo sita ambayo timu hiyo ishacheza hadi sasa. Hussein Zakouani…

Loveness Bernard · Read more

NBC CHAMPIONSHIP KUMENOGA

LIGI ya Championship ya NBC inazidi kunoga ikiwa ni mzunguko wa pili wa Ligi hiyo iliyoanza Septemba 10 ikihusisha timu 16 kutoka mikoa mbali mbali. Mzunguko wa pili unaanza leo kwa michezo miwili ambapo timu ya Mbeya Kwanza itakuwa mwenyeji wa timu ya Tanzania Prisons katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora na mchezo…

Loveness Bernard · Read more

‘MNYAMA’ AUNGURUMA AZAM COMPLEX.

LIGI Kuu ya NBC imezidi kupamba moto ikiwa ni mzunguko wa sita kwa timu ya Simba huku kwa Azam wakicheza mzunguko wa saba, ambapo timu ya Azam ilikuwa mwenyeji wa timu ya Simba kwenye uwanja wa Azam Complex, Dar. Hadi mapumziko timu hizo zilienda bila upande wowote kupata bao ingawa Simba walionyesha uhai kwenye…

Cynthia Michael · Read more

VITA YA KISASI ‘DABI’ YA MZIZIMA LEO.

‘Dabi’ ya Mzizima leo inatarajiwa kuwa mchezo wa kuvutia wa Ligi Kuu ya NBC wakati Azam ikiwakaribisha Simba kwenye uwanja wa Azam Complex, Dar saa 1:00 usiku. Mchezo huo ni muhimu kwa timu zote ikiwa kila timu inataka alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC. Azam iko…

Loveness Bernard · Read more

‘WANANCHI’ WASHINDA SITA KATI YA SITA LIGI KUU YA NBC.

Timu ya Young Africans imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa ligi Kuu ya NBC uliochezwa katika uwanja wa KMC jijini Dar es saalam. Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na Oumar Komara dakika ya 55 na likiwapa Yanga alama tatu muhimu. Hata hivyo mchezo huo ulishuhudia Yanga wakimaliza…

Cynthia Michael · Read more

YANGA GEITA GOLD KUCHUANA KMC

LIGI Kuu ya NBC imeendelea kushika kasi ikiwa ni mzunguko wa sita wa ligi hiyo ambapo timu ya Yanga itaikaribisha timu ya Geita Gold katika uwanja wa KMC leo saa 1:00 usiku. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili ambazo zimeanza vema msimu zikipambana kupata alama muhimu mwanzoni ili kujiweka katika…

Honest Mwanitega · Read more